Ufadhili wa kimataifa waongezeka kwa ajili ya utafiti wa malaria duniani
MAP - ambayo inamiliki hifadhidata kubwa zaidi ya malaria duniani na iko mstari wa mbele katika juhudi za kufuatilia na kukabiliana na ugonjwa huo - imepewa ruzuku mpya na Wakfu wa Bill & Melinda Gates.